CCM Yafunga Rasmi Pazia la Kuwapokea Wabunge na Madiwani Toka Upinzani

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kufunga pazia la kuwapokea viongozi, wabunge na madiwani wanaohamia chama hicho kutoka upinzani.Akitangaza kufungwa kwa suala hilo jana mjini Morogoro, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula, alisema leo ndio mwisho wa kupokea viongozi, madiwani na wabunge kutoka vyama vya upinzani na kwamba atakayetaka kujiunga na chama hicho baada ya hapo atakuwa mwanachama wa kawaida.“Huu ni uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM kwamba ifikapo Novemba 15 iwe mwisho wa kupokea viongozi, madiwani na wabunge kutoka upinzani, hivyo leo nimefunga rasmi jambo hili. Baada ya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News