CCM yatuhumiwa kuihujumu ilani yake

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetuhumiwa kuhujumu ilani yake ya uchaguzi wa mwaka 2015 na wabunge wa upinzani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Wakizungumza katika nyakati tofauti leo tarehe 14 Novemba 2018 bungeni jijini Dodoma, Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na wa Momba, David Silinde wamesema serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza baadhi ya ahadi zilizomo ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News