CELSUS Mbunge aliyejengewa maktaba kuenzi usomaji vitabu

Tiberius Julius Celsus Polemaeanus NA KIZITO MPANGALA Wahenga walipata kusema hapa duniani kila jini na mbuyu wake. Mtu akiipata nafasi na akiweka nia ya kuitumia ipasavyo, hakika hatatetereka. Kuweka nia thabiti na kuwa na morali kwa bidii kunaleta mshawasha zaidi katika utekelezaji wa nia ile bila kuharibu sheria za nchi husika. Katika nchi ya Uyunani (Ugiriki) raia mmoja wa kabila la Waefeso aliyeitwa jina la Tiberius Julius Celsus Polemaeanus na ambaye alikuwa maarufu kwa jina la Celsus alizaliwa mwaka 45. Eneo alilozaliwa lilikwa likitawaliwa na Dola la kale la Kirumi...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News