CERF yatenga dola milioni 26.5 kwa ajili ya Sudan

Wakimbizi wa ndani jimbo la Darfur Sudan wanakabiliwa na changamoto nyingi na ugumu wa kupata maji safi. Pichani ni msichana na kaka yake wakiwa katika kituo cha maji safi cha Abu-Shok kwenye kambi ya wakimbizi wa ndani illi kuteka maji Wakati huo huo Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura, OCHA, Mark Lowcock ametangaza kutengwa kwa dola milioni 26.5 kwa ajili ya msaada wa dharura, CERF kwa ajili ya kuwasilisha chakula, lishe, huduma ya afya, maji na huduma ya kujisafi kwa takriban watu 800,000...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News