CHADEMA Wamkaribisha Maalim Seif Kugombea Urais

Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kupitia kwa Mwenyekiti wake Hashim Issa Juma, limesema watamkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi,  CUF Maalim Seif endapo chama chake kitakufa.Akiongea na wanahabari leo, Hashim Issa amesema wao kama CHADEMA hawafurahishwi na kinachoendelea ndani ya  CUF na endapo kitakufa wao watajiimarisha zaidi Zanzibar na kumpa nafasi Maalim kugombea Urais visiwani humo kupitia CHADEMA.''CHADEMA na CUF ni kitu kimoja, kwa hiyo CUF ikitetereka  sisi tutaimarika zaidi na kushika nguvu Zanzibar na sisi tutawakaribisha wagombea wote Zanzibar wachukue fomu na kugombea...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News