Chadema wataka polisi kumhoji Dk Mollel shambulio la Lissu

Wakati Polisi wakieleza kutofahamu chochote juu ya madai ya mbunge wa Siha (CCM), Dk Godwin Mollel kuihusisha Chadema na tukio la kushambuliwa kwa Tundu Lissu, chama hicho kikuu cha upinzani nchini kimesema kitalishangaa jeshi hilo kama halitamhoji mbunge huyo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News