CHADEMA Watoa Tamko Sugu Kukamatwa na Jeshi la Polisi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo February 22 2019 wamewaita waandishi wa habari na kutoa kauli kuhusu Mbunge wao wa CHADEMA Joseph Mbilinyi (Sugu) ambaye alikamatwa jana na kauchiwa kwa dhamana Mkoani Mbeya baada ya kuzungumzia kuhusu vitambulisho vya wafanyabiashara akidaiwa kutoa maneno ya uchochezi.Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, Naibu Katibu Mkuu (CHADEMA) Zanzibar amesema hatua hiyo inalenga kumsumbua kiongozi ili asiweze kutekeleza majukumu yake ya kibunge."Sababu ya yote yanatokea ni wivu, kinachoendelea Mbeya Mjini kumsumbua Sugu na wengine ni kwanini Sugu anapendwa Mbeya, kwanini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News