Chama mfalme mpya Simba

*Alichokifanya Eswatini, Mungu ndiye anajua *Amrahisishia kazi Mkude, ampa jeuri Mbelgiji wao NA ZAITUNI KIBWANA KIUNGO wa Simba, Clatous Chama, raia wa Zambia ni kama mfalme mpya ndani ya kikosi cha timu hiyo, baada ya kuwa gumzo kila kona nchini kutokana na kiwango kizuri alichokionesha kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Mbabane Swallows ya nchini Eswatini (zamani Swaziland). Simba juzi iliingia hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kushiriki hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 8-1 dhidi ya wenyeji,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News