CHAMA, OKWI WAMPONZA BOSI SIMBA

WINFRIDA MTOI NA DEBORA MBWILO (Tudarco) MENEJA wa timu ya Simba, Richard Robert, amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutojihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha mwaka mmoja na kulipa faini ya shilingi milioni nne. Adhabu hiyo imetolewa na Kamati ya Maadili ya TFF, baada ya meneja huyo kukutwa na makosa mawili, kuihujumu timu ya Taifa, Taifa Stars na kushindwa kutii maagizo ya shirikisho hilo la soka nchini. Makosa hayo yalitokana na sakata la wachezaji wa Simba kushindwa kujiunga na kambi ya kikosi cha Taifa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News