Chilunda atuliza presha Azam

MOHAMED KASSARA – DAR ES SALAAM MSHAMBULAJI wa Azam FC, Shaaban Chilunda, amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo wanaodhani amechemsha kucheza soka la kulipwa Ulaya, akiwataka kusubiri kuona moto atakaouwasha Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa msimu ujao. Chilunda alijiunga na klabu ya CD Tenerife inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Hispania kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Azam, Agosti mwaka jana. Januari mwaka huu, timu hiyo ilimtoa kwa mkopo kwenda klabu ya CD Izarra inayoshiriki Ligi Daraja Pili nchini humo, hata hivyo mshambuliaji huyo alirudi Azam baada...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Yesterday

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News