Chuo Kikuu Cha Mwalim Nyerere Watowa Elimu Kwa Masheha wa Kisiwani Pemba.

MAKAMO Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mashavu Ahmada Fakih akizungumza na Masheha wa Mkoa wa Kusini Pemba pamoja na wanafunzi wa Skuli za Mkoa huo kwa lengo la kuwafamisha juu ya uanzishwaji wa kampasi ya Chuo hicho kwa upande wa Pemba huko katika ukumbi wa Skuli ya Maandalizi Madungu Chake Chake PembaMKUU wa Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Profesa Shadrack Mwakalila akizungumza na Masheha qa Mkoa wa Kisini Pemba pamoja wanafunzi wa Skuli za Mkoa huo kwa lengo la kuwafahamisha juu ya uanzishwaji wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Yesterday

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News