City: Guardiola baki tukupe mshahara bil 290/=

MANCHESTER, England ENDAPO atakubali kubaki, mabosi wa Manchester City wamesema watampa Pep Guardiola mshahara wa pauni milioni 100 (zaidi ya Sh bil 290 za Tanzania) kwa mwaka. Man City wanajaribu kumshawishi Mhispania huyo asiondoke, wakiwa wamepanga kumpa mkataba wa miaka mitano. Wakati huo huo, tayari Guardiola (48), alishathibitisha kuwa na mpango wa kuendelea kuinoa timu hiyo aliposema: “Nitabaki hapa kwa misimu mingine miwili.”...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 21 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News