CITY WAMVAA NYOTA WOLVES

MANCHESTER, England   MANCHESTER City wameanza kuifukuzia saini ya mchezaji wa Wolves raia wa Ureno, Ruben Neves. Kama mambo yatakwenda sawa, basi kiungo huyo mwenye umri wa miaka 21 atatua klabuni hapo Januari, mwakani.   The post CITY WAMVAA NYOTA WOLVES appeared first on Bingwa....

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News