CPA kujenga Makao yake Makuu jijini Dodoma

JUMUIYA ya Madola Kanda ya Afrika  CPA unakusudia kujenga ofisi ya Makao Makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na ujenzi wa hoteli ya nyota tano katika  eneo la Ndejengwa Jiji la Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea).  Hayo yamebainishwa jana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola ya Afrika, Muturi Jastine Muturi, ambaye pia Spika wa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 12 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News