CPJ yakanusha taarifa ya uhamiaji Tanzania

Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania, imewaachia huru na kuwarudishia hati za kusafiria waandishi wa Kamati Maalumu ya Kuwalinda Wanahabari Duniani (CPJ), na kudai kuwa waliingia nchini na kufanya shughuli zao kinyume na kibali cha matembezi walichokuwa wamepewa....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News