CRDB kinara Afrika Mashariki

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Benki ya CRDB imetajwa  kuwa  benki ya kwanza kwa ukubwa hapa nchini na ya tatu kwa ukubwa Afrika  Mashariki kwa kukua na kuwa na mafanikio mengi. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Aprili 12, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela amesema mafanikio ya benki hiyo kwa mwaka uliopita ni mengi ikiwamo kukua kwa faida kwa asilimia 78. “Mafanikio mengine benki yetu iliyopata ni kukua kwa utoaji mikopo kwa asilimia 8  na tumefanikiwa kuwakopesha Watanzania hadi Sh trilioni 3.1,”amesema Nsekela....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 12 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News