Credit Suisse Bank: Tutaendelea Kuikopesha Tanzania Kwa Kuwa Inakopesheka Na Mahili Katika Usimamizi Wa Miradi

Na Benny Mwaipaja, WFM, Washington DCBenki ya Credit Suisse ya Uingereza imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kuikopesha Tanzania ili kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo baada kuridhishwa na uaminifu wa urejeshaji mikopo kwa wakati pamoja na ubora wa viwango vya miradi inayotekelezwa nchini.Ahadi hiyo imetolewa Mjini Washington D.C nchini Marekani na Mkurugenzi wa Masoko ya Kimataifa wa Benki hiyo Bi. Elizabeth Muchemi, alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, katika mikutano ya kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha na Kimataifa inayoendelea...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News