CUF Maalim: Tunahofia Jaji ametishwa

CHAMA cha Wananchi (CUF), kinachoongozwa na Maalim Seif Sharif Hamad, umedai kuwa kuna mkakati unaopangwa na baadhi ya maofisa wandamizi wa serikali, kumshinikiza Jaji Dk. Benhajj Masoud, kutoa maamuzi yatakayombeba Prof. Ibrahim Lipumba. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa vyombo vya habari jioni hii, inaeleza kuwa sababu zilizotolewa leo mahakani ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News