Dakika 75 za majibizano ya risasi polisi, watuhumiwa wa ujambazi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana amesimulia jinsi polisi walivyojibizana kwa risasi na watuhumiwa wawili wa ujambazi kwa muda wa dakika 75. Amesema wawili wamefariki dunia na mmoja ametoroka....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News