Dawasa yatoa ajira 105 kwa vijana

RAHMA SWAI (TSJ) na TUNU NASSOR -DAR ES SALAAM Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) imetoa ajira kwa vijana 105 waliohitimu Chuo cha Mafunzo stadi (Veta) kusaidia kusambaza maji katika miradi mipya. Akizungumza katika ziara ya Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa aliyoifanya katika eneo la Salasala, kata ya Wazo manispaa ya Kinondoni jijini hapa,  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema vijana hao wameanza kazi rasmi jana. “Tumetoa ajira ya muda kwa vijana 105 kutoka Chuo cha VETA ambao wameanza kazi rasmi leo ambao...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News