Dawasa yazindua mradi mpya wa kuchakata maji taka

Tunu Nassor, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) imewashauri wakazi wa Temeke kutumia mradi mpya wa kuchakata majitaka uliozinduliwa leo na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva pindi wanapotaka kunyonya vyoo vyao. Akizungumza katika uzinduzi huo Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Jamii wa Dawasa, Neli Msuya amesema  mradi huo utawapunguzia gharama za unyonyaji majitaka kwa wakazi wa kaya zisizopangwa. “Niwaombe wananchi mtumie mradi huu mnapokuwa na uhitaji wa kunyonya vyoo vyenu kwa kuwa utakuwa na gharama nafuu huku  ukiyaacha mazingira yakiwa safi,” amesema Neli....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News