DC aagiza silaha za mmiliki wa shule zichunguzwe 

ELIYA MBONEA-ARUSHA VYOMBO vya ulinzi na usalama wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha, vimeagizwa kufanya ukaguzi wa vibali vya silaha tatu za mmiliki wa Shule ya USA River Academy, anayedaiwa kuwafyatulia risasi walimu na kuwajeruhi. Agizo hilo lilitolewa wilayani hapa jana na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Jerry Muro.    Akielezea kuhusu tukio hilo, Muro alisema mtuhumiwa bado anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo kwa mahojiano zaidi. Alisema kwamba, katika hatua za awali wamemkuta mmiliki huyo anayedaiwa kujeruhi walimu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News