Denmark yasitisha msaada kwa Tanzania

Denmark ambaye ni Mfadhili mkubwa wa pili kwa Tanzania imetangaza kuzuia msaada wenye thamani ya dola za Marekani milioni 10, ukieleza kusikitishwa kwake juu ya uvunjifu wa haki za binadamu na matamko ya kibaguzi yaliyotolewa na afisa wa Serikali ya Tanzania....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News