Dereva lori la mafuta lililoteketea kwa moto apatikana akiwa hai

Hubert Mtete ambaye ni dereva wa lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta ya petroli lililoacha njia na kugonga mti Kijiji cha Hangangadinda mkoani Ruvuma nchini Tanzania kisha kichwa cha gari hiyo kuwaka moto na kuteketea amepatikana akiwa hai....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News