Dereva lori la mafuta lililoteketea kwa moto Ruvuma Apatikana

Dereva Hurbet Mpete aliekuwa anaendesha lori la mafuta lililopata ajali Mkoani Ruvuma amepatikana akiwa hai.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Simon Marwa  amesema dereva huyo ana michubuko kidogo na amevunjika mbavu, hivyo wamempeleka Hospitali kwa matibabu zaidi.RPC Marwa amesema uchunguzi zaidi unaendelea kujua chanzo cha ajali hiyo ingawa  shehena ya mafuta lita 33,000 alizobeba zimekutwa salama na mmiliki wa mafuta hayo ameshahamisha.Lori hilo mali ya James Mwinuka ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Njombe Filling station  lilipata ajali juzi Jumapili Agosti 11,2019 saa 4 usiku  baada ya kuacha  njia na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News