Dk. Bashiru ashutumiwa vikali

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimemtuhumu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali kwamba anapotosha ukweli kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa nchi.  Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Dorothy Semu, katibu mkuu wa chama hicho amesema, Dk. Bashiru anapaswa kuomba radhi Watanzania kwa kudai kuwa, uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.8 kinyume na takwimu za ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 21 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News