Dk. Bashiru: Kamateni hao CCM

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amesema, mgombea yeyote wa chama hicho atakayejihusisha na vitendo vya rushwa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamkamate. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza na wanachama wa chama hicho tawala katika Mji wa Kibaya, Kiteto mkoani Mara leo tarehe 12 Julai 2019 amesema, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News