DK JONAS BENEDICT KUMRITHI MANJI

NA ZAITUNI KIBWANA Siku moja baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kutangaza kwamba uchaguzi wa klabu ya Yanga upo pale pale, Dk Jonas Benedict amejitokeza na kuchukua fomu kurithi nafasi ya Yusuph Manji. Akizungumza na Bingwa, Wakili Ally Mchungahela amesema Dk Benedict ni mgombea pekee wa nafasi ya mwenyekiti aliyejitokeza mpaka sasa kuchukua fomu hiyo. Amesema kigogo wa zamani wa klabu hiyo, Yona Kevela naye amechukua fomu kutaka nafasi ya makamu mwenyekiti katika uchaguzi huo. Wakili huyo amesema wajumbe tisa waliojitokeza hadi sasa ni Dominic Francis,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News