DK. Lwaitama amzungumzia Maalim Seif

UAMUZI  wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad wa kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umetajwa kuwa ni ushujaa. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Msomi na Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha JOKUCO, Dk. Azaveli Lwaitama akizungumza na MwanaHALISI ONLINE amesema, Maalim Seif amefanya uamuzi wenye ukomavu wa kisaisa. “Hii inakuonesha Maalim ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News