Dk. Mpango na bajeti isiyotekelezeka

BAJETI ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, iliyosomwa na Dk. Philiph Mpango, waziri wa fedha na mipango, katika utawala wa Rais John Pombe Magufuli, haina jipya. Imejirudia mambo yale yam waka uliyopita; na au miaka mitatu ya nyuma. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Mathalani, ndani ya bajeti hakuna nyongeza ya mishahara. Siyo tu, kwamba ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News