Dk. Mpango: Sina taarifa ya taasisi iliyositisha mikopo Tanzania

Fredy Azzah, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesema yeye kama waziri wa fedha hana taarifa yoyote ya taasisi ambayo imetishia kuacha kutoa mkopo ama msaada kwa Tanzania. Dk. Mpango amesema hayo bungeni jijini Dodoma leo Jumatano Novemba 14, alipokuwa akijibu hoja za wabunge walizotoa wakati wakichangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Takwimu Afrika. Wakati Dk Mpango akitamka hivyo, kumekuwa na taarifa kwenye vyombo vya nje ya nchi na mitandao ambavyo vimekuwa vikiripoti kuwa, Benki ya Dunia imesitisha mikopo katika sekta ya takwimu na elimu kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News