Dk. Shein afuata nyayo za Rais Magufuli

DAKTARI Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar leo tarehe 11 Juni 2019 amefanya uteuzi wa viongozi katika idara mbalimbali zilizoko chini ya wizara nne. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Katika Wizara ya Biashara na Viwanda, Rais Shein amemteua Juma Hassan Reli kuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, huku Abdulla Rashid Abdulla akimteua kuwa Mkurugenzi wa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News