Dodoma wajiandaa kumpokea Rais Magufuli kwa mabango

WAKAZI wa Kata ya Mtumba, jijini Dodoma wanajiandaa kumpokea Rais John Mgufuli kwa mabango yenye malalamiko baada ya halmashauri ya jiji hilo kushindwa kulipa fidia zao za viwanja. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Wameeleza kuwa, watafanya hivyo pale Rais Magufuli atakapokwenda kuzindua majengo ya mji wa kiserikali yaliyopo Kata ya Mtumba. Wakizungumza na vyombo vya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News