Dr. Bashiru: Wapuuzeni hao "Wapumbavu" Wanaotaka Kukivuruga Chama Chetu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Bashiru Ally,  leo Julai 23,  2019,   ametoa wito kwa wanachama wa chama hicho kuwapuuza wale aliowaita wapumbavu, yaani watu wanaoendeleza mjadala usiokuwa na tija ndani ya chama hicho, na akawahakikishia kwamba chama hicho kiko imara.Dk. Bashiru  ameyasema hayo wakati akipongeza hatua ya wanaCCM Mkoa wa Dodoma, kutaka Kanal Abdulrahman Kinana na Yusuf Makamba, makatibu wastaafu wa CCM kuchukuliwa hatua.Ni baada ya makatibu hao wastaafu wiki iliyopita, kumwandikia barua Pius Msekwa, Katibu wa Baraza la Viongozi Wastaafu wa CCM wakilalamikia kuchafuliwa na...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 23 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News