Droo ya robo fainali: Hatima ya Simba kujulikana leo

MOHAMED KASSARA-DAR ES SALAAM BAADA ya kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kibabe kwa kuichapa AS Vita mabao 2-1, Simba leo itajua itavaana na nani katika hatua hiyo. Saa chache kutoka sasa, droo ya robo fainali itapangwa, ambapo Simba itajua inavaana na nani kati ya vigogo watatu wa soka la Afrika ambao ni TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo (DRC), Wydad Casablanca ya Morocco au mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Esperance ya Tunisia. Simba ilimaliza nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi D, nyuma ya Al Ahly...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News