Duniani Leo January 10, 2019

Tume ya uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo SENI imemtangaza kiongozi wa upinzani Felix Tshisekedi, kuwa rais mteule wa Congo, aliyeshinda nafasi ya pili ni Martin Fayulu amesema hajaridhishwa na matokeo hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo yuko nchini Mirsi kwa ziara...

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Thursday, 10 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News