Duniani Leo September 11, 2018

Ndani ya Duniani Leo Gavana nchini Kenya Okothi Obado, achunguzwa kuhusiana na mauwaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu aliyekuwa mja mzito. Kimbunga kilichopewa jina Florence kinatarajiwa chaongeza nguvu kuelekea kwenye fukwe za North Carolina. Tanzania yaadhimisha utambuzi wa mwezi wa sickle cell....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News