Ethiopia yawapa nafasi kubwa wapinzani

NA HILAL K SUED Katika hali ya kawaida iliyozoeleka Barani Afrika mtu anaweza kusema utawala wa sasa wa Ethiopia unazidi kufanya kufuru katika kuvunja, au tuseme kwenda kinyume na utamaduni na miiko ya tawala nyingi yanapokuja masuala ya demokrasia na uendeshaji wa chaguzi. Katika mstuko mwingine wiki mbili zilizopita, utawala huo wa Addis Ababa, ulifanya kile kisichofikirika Barani Afrika – ulimteua kiongozi wa upinzani kuongoza Tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo. Na nyuma ya mambo yote haya ya kushangaza ni kiongozi wa sasa, Waziri Mkuu Dr Abiy Ahmed ambaye viongozi...

read more...

Share |

Published By: Rai - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News