EXCLUSIVE: Rais wa Simba hachukui fomu kugombea uongozi

Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah ‘Try Again’ amenithibitishia kwamba hana mpango wa kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya klabu hiyo ikiwa ni pamoja na urais/uenyekiti. Nikataka kujua kwa nini hataki kugombea urais wakati wadau wengi wa klabu ya Simba wanaamini atagombea urais baada ya kuridhishwa na uongozi wake akiwa kaimu Rais. Salim ametaja sababu ambazo zimefanya asigombee na kuamua kujiweka pembeni ya mchakato huo. “Chini ya uongozi wangu nikiwa nakaimu nafasi ya urais nimesimamia mabadiliko ya uendeshaji wa klabu kutoka mfumo wa wanachama...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News