Fatma Karume: Hukumu ya kuzuia wakurugenzi wa serikali kusimamia chaguzi Tanzania, ni kuzuia ushindi wa goli la mkono

Rais mstaafu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume amesema uamuzi wa Mahakama Kuu kuwaengua wakurugenzi wa halmashauri  kusimamia  chaguzi mbalimbali nchini ni sawa na kuzuia goli la mkono katika uchaguzi.Fatma ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Mei 24, 2019 jijini Arusha katika kongamano la taasisi ya Change Tanzania, akibainisha kuhusu hukumu hiyo ya kesi iliyofunguliwa na Bob Wangwe kwamba ina maana kubwa katika demokrasia ya Tanzania.Hukumu hiyo ilitolewa Mei 10, 2019  na kuwaengua wakurugenzi hao wa halmashauri za majiji, miji/wilaya na manispaa kusimamia uchaguzi. Hata hivyo, Serikali imetia nia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 24 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News