Fedha zaleta mzuka Yanga

HUKO mitaani ilikuwa gumzo kubwa. Mashabiki wa Simba walipata pa kusemea baada ya kusikia Yanga inatembeza bakuli wakiomba kuchangiwa fedha za kuisaidia klabu yao. Hata baadhi ya Wana Yanga wenye roho nyepesi nao walianza kuingia baridi kila walipokuwa wakitaniwa na wenzao wa Simba kuwa, kutoka kuwa wazee wa Kimataifa hadi kuwa ombaomba Matonya....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News