Fei Toto afunguka mzimu wa kadi unavyomuandama uwanjani

KIUNGO wa Yanga, Fei Toto ambaye anahusishwa na kutaka kutimkia Uingereza kucheza soka la kulipwa, amefunguka sababu ya kulimwa kadi mara kwa mara kwamba inamshangaza wakati mwingine haelewi zinatokana na nini....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News