Fredrick Sumaye aviponda viwanda vya Magufuli

WAZIRI Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano, Fredrick Sumaye amesema, nchi kwa sasa inaendeshwa “kiholela,” na kudai kuwa ikiwa chama chake kitafanikiwa kushika madaraka, kitaimarisha uchumi. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Amedai kuwa kwa sasa, uchumi wa taifa unaporomoka na kwamba serikali inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, “imeamua kwa makusudi kuvuruga uchumi.” “…huwezi kuzungumzia viwanda ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 25 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News