Google Boy: Mtoto anayeijua Dunia kama kiganja cha mkono

Msanii maarufu nchini India Amitabh Bachchan akiwa na Kautilya Pandit. Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KATIKA umri ambao kwa kawaida watoto wengi ndio wanajifunza alphabeti hadi maneno, Kautilya Pandit maarufu Google Boy, yeye ni tofauti na wenzake, tayari anajua kila kitu, akitiririka kuanzia Pato la Ndani la Taifa (GDP) la Australia hadi kuzungumzia siasa za Indonesia kwa usahihi kabisa. Huko Kohand, katika Kijiji cha Karnal, Jimbo la Haryana nchini India, Kautilya tangu akiwa na miaka mitano (2013), tayari alishaanza kujulikana kama ‘Google Boy’ au Encyclopedia inayotembea. Majina hayo ya utani...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News