Hakuna kazi, shule Mtwara kupisha Kimbunga leo

Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) wakitoa tahadhari juu ya uwezekano wa kutokea kwa kimbunga Kenneth, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa ametoa mapumziko kwa wanafunzi mkoani humo na wafanyakazi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News