Harambee Stars kuifuata DRC Madrid

PARIS, Ufaransa  TIMU ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, inajiandaa kuondoka Paris, Ufaransa kuelekea Madrid nchini Hispania kucheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kuanza AFCON.  Hii itakua ni mechi ya pili kwa Harambee Stars baada ya Ijumaa iliyopita kuifunga Madagascar bao 1-0 lililofungwa kipindi cha pili na nahodha Victor Wanyama kwa mkwaju wa penalti baada ya kipa Patrick Matasi kupangua penalti ya Madagascar kipindi cha kwanza.  Baada ya ushindi huo, kocha mkuu Sebastian Migne alieleza kuridhika...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News