Hatima Kesi ya Kina Zitto Kabwe Kupingwa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa Kujulikana Jumatatu

Hatima ya kesi ya kupinga Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa iliyofunguliwa na wapinzani katika mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, itajulikana keshokutwa wakati mahakama itakapotoa uamuzi wa kuisikiliza au la.Uamuzi huo ulitolewa jana katika mahakama hiyo na Jaji Benhaji Masoud, wakati wa mabishano ya kisheria kuhusu uhalali wa mahakama kusikiliza shauri hilo au la.Upande wa serikali uliwasilisha hoja 10 za kupinga kesi hiyo iliyofunguliwa na Zitto Kabwe, ambaye ni Kiongozi wa ACT-Wazalendo wa wenzake kwa niaba ya vyama 10 vya upinzani kupinga kwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 11 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News