HAWA UHAKIKA YANGA

NA ZAINAB IDDY JAPO klabu ya Yanga bado inaendelea na usajili, tayari kuna majina ya wachezaji waliotangazwa kunaswa na klabu hiyo yameanza kuwapa uhakika mashabiki wao kutamba msimu ujao. Kati ya wachezaji hao, wapo wapya na wale wa zamani waliofanya kazi kubwa kuipigania timu hiyo yenye maskani yake makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam, msimu uliopita. Kwa upande wa wachezaji wa zamani, wanaoonekana kuwa na uhakika wa kuwamo kikosini msimu ujao ni Paul Godfrey, Gadiel Michael, Kelvin Yondani, Pappy Tshishimbi, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Abdallah...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News