Hii Simba hii haponi mtu taifa

Napenda kuwapa pongezi kubwa Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba, kwa kuanza kampeni zao za hatua ya makundi kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura, ya nchini Algeria. Mchezo ulikuwa wa kuvitia sana kwa pande zote mbili Algeria, walianza kwa presha kubwa sana huku wakiamini wataweza kuivuruga mipango ya Simba. Simba walijaribu kuwasoma wapinzani wao jinsi wanavocheza ukiangalia katika idara ya Kiungo Simba, muda mwingi walitawala mchezo uwiano wa ule utatu wa hapo kati ulikuwa umeleta mafaa sana ukimuangalia Kotei, Mkude, na Chama, kila mchezaji alikuwa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News