Hispania waidhalilisha Croatia, huku Lukaku na Rashford wakitakata

Dakika 35 tu za kipindi cha kwanza zilitosha kuona aibu inayokuja kwa timu ya taifa ya Croatia katika mchezo wao wa leo zidi ya timu ya taifa ya Hispania kwenye michuano ya UEFA Nations League. Dakika hizo 35 ilikuwa tayari Saul Niguez, Marco Asensio na bao la kujifunga la Lovre Kalinic yaliufanya mchezo kwenda half time kwa Hispania kuongoza kwa mabao 3-0. Croatia walirudi kipindi cha pili wakiwa na juhudi ya kutafuta kuchomoa lakini tabu ikawa pale pale baada ya kufungwa 3 zingine na kuwa 6 huku safari hii wafungaji...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News